Thursday, June 4, 2015

MAALIM SEIF ATEMBELEA OFISI ZA AZAM TV


Hamad akizungumza na wafanyakazi wa Azam TV.
Wafanyakazi wa Azam TV wakimsikiliza Hamad.
Wafanyakazi wa Azam TV baada ya mazungumzo wakipata picha ya pamoja na Hamad.

Wafanyakazi wa Azam TV wakiwa katika picha ya pamoja na Hamad.
Hamad akikabidhiwa kingamuzi cha Azam TV.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Hamad Sharif Hamad, akiondoka katika ofisi za Azam TV zilizopo Tabata jijini Dar es Salaam.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad,  leo asubuhi ametembelea kituo cha televisheni cha Azam TV cha jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika ofisi hizo baada ya kujionea shughuli zinazofanywa na kituo hicho, aliupongeza uongozi mzima wa Azam TV na hasa mkurugenzi wa kituo hicho, Tido Mhando, kwa uzoefu alionao akiamini televisheni hiyo itakuwa bora Afrika na dunia nzima.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...