Monday, May 25, 2015

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015.
Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba;
  • Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani.
  • Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi.
  • Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...