Saturday, May 23, 2015

DK CHENI ATUA GLOBAL TV ONLINE

Dk. Cheni akiwa katika pozi kabla ya kufanya mahojiano na Global TV Online.
Dk. Cheni akifanya mahojiano na Mtangazaji wa Global TV Online, Shorvieny Mohammed.
Dk. Cheni akifafanua jambo.
Dk. Cheni akitafakari jambo wakati wa mahojiano hayo.
Video Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ akiwa katika pozi na Dk. Cheni.
Dk. Cheni akiwa katika pozi mbalimbali na wafanyakazi wa Global Publishers.
STAA wa sinema za Kibongo, Mahsein Awadh 'Dk Cheni', jana ametua katika studio za Global TV Online zilizopo kwenye Ofisi za Global Publishers Ltd, Mwenge-Bamaga na kufanya mahojiano.
Dk. Cheni amefika Global TV Online kwa ajili ya mahojiano ya Kipindi cha Mtu Kati kinachoruka kila wiki kupitia WWW.GLOBALTVTZ.COM
Ili kujua zaidi kuhusu alichofunguka Dk. Cheni ungana nasi wiki ijayo.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...