Saturday, May 9, 2015

AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!

MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha.
Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’.
Akipiga stori  Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo sivyo.
“Nawaomba wanaume waache kunifatafata jamani wananikosesha amani kwani mimi nimefundwa  najua madhara ya hako kamchezo kabaya, siwezi kuthubutu hata  mara moja,” alisema Aunty Lulu.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...