Wednesday, April 22, 2015

KIM KARDASHIAN NA MUMEWE WANG'ARA KWENYE SHEREHE ZA JARIDA LA TIMES


Kim Kardashian na Kanye West wakiwa kwenye zulia jekundu  wakati wa sherehe za jarida la Time zilizofanyika jana jijini New York City , Marekani Kuwatukuza watu 100 maarufu zaidi duniani kwa mujibu wa jarida hilo.
Kim akijiachia katika zulia jekundu.
Kim na Kanye wakimuangalia mchekeshaji Amy Schumer akiwa amejilaza chini.
Kim na Kanye wakiondoka katika zulia jekundu.
Kim Kardashian katika pozi mbalimbali.
Kim akimsalimia Martha Stewart huku Kanye akiwaangalia.
Kanye akipeana mkono na muigizaji, Mia Farrow.
 Mhariri Mtendaji wa jarida la Times, Nancy GIbbs (wa pili kushoto) akiwa na ,Kanye na  Kim.
Kim (katikati), Laverne Cox (kushoto) na Naomi Campbell (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja.

Kim akichukua matukio kwa kamera yake.
Kim akiwa katika picha ya pamoja na mchekeshaji Amy Schumer.
Naomi Campbell akiwa katika pozi.
Kanye akifanya makamuzi katika sherehe hizo.
...Akiwa na wacheza shoo wake.
Baadhi ya waalikwa wakicheza wimbo wa Kanye wakati akifanya yake stejini (hayupo pichani).
(PICHA: DAILY MAILY)

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...