Wednesday, April 15, 2015

Alichosema Drake kuhusu busu zito la Madonna, Kalipenda ?


640_drake_madonna_response
Kwenye tamasha la Coachella  mwanii mkongwe wa pop Madonna alikutanisha midomo yake na rapa mkubwa Drake wakiwa pamoja kwenye jukwa na kukamata attention ya watu wengi. Baada ya busu lao Drake alionekana kushtushwa na jambo hilo na kushika mdomo kitendo ambacho kilitafsiriwa kama ni kutopenda busu la malkia huyo wa pop.
Drake ametumia instagram yake kusema kuwa “Watu wasitafsiri kitendo chake vibaya ila hakutegemea kumbusu madonna ” .
drake
27831F3C00000578-3036560-image-a-238_1428908071552

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...