Monday, March 2, 2015

MAKAMBA AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUUONA MWILI WA MAREHEMU JOHN KOMBA KARIMJEE


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza mamia ya Watanzania kuuaga mwili wa Marehemu Kapteni John Komba ndani ya Uwanja wa Karemjee Posta jijini Dar es Salaam, mapema leo
 Rais Msitaafu wa Tanzania Mh. Ali Hassani Mwinyi akitoa heshima za mwisho.
 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamini Mkapa akiga mwili.
 Spika wa Bunge Anne Makinda akiaga mwili.
 Katibu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba, akiangua kilio baada ya kuuona mwili wa marehemu John Komba wakati wa kutoa heshima za mwisho katika viwanja vya Karimjee.
Rais Kikwete (katikati) akiwa na makamu wake Gharib Bilal (kushoto) na Anna Makinda katika viwanja vya Karimjee ili kumuaga marehemu Kapteni John Komba.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa (wa pili kulia) akiwa na mkewe Anna (wa tatu kulia) wakiwasili viwanja vya Karimjee.
Waziri mkuu aliyejiuzulu,Edward Lowassa (kulia)akisalimiana na Mkapa.
Spika wa Bunge, Anna Mkapa (kushoto) akiwa na Mkapa.

Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan (kushoto) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba (kulia) akiwa viwanja vya Karimjee.
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia)akisalimiana na mwanasiasa mkongwe, Kingunge Ngombale.
Wake wa marehemu Komba, katikati ni mke mkubwa, Salome, na kulia ni mke mdogo.
Miongoni mwa wanafamilia wa marehemu Komba.
Mwili wa marehemu John Komba ukiingia Karimjee ili kuagwa na wananchi na viongozi mbalimbali leo jijini Dar.
(PICHA: GLOBAL WHATSAPP +255 753 715 779/GPL, MUSA MATEJA)

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...