Tuesday, March 3, 2015

MSANII WA BONGO FLEVA NOORAH AONDOKEWA NA MKEWE

Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao kabla ya kufikwa na mauti leo.

Msanii wa Bongo Fleva Noorah akiwa na mke wake Anna Kingwalu siku ya ndoa yao kabla ya kufikwa na mauti leo.

KWA Taarifa tulizopata mapema hii zinadai kwamba Mke wa Msanii wa Bongo Fleva Noorah, Anna Kingwalu, amefariki leo nyumbani kwao Morogoro amethibitisha Dark Master.

Noorah na Anna walifunga ndoa Juni 8, 2013 nyumbani kwao Shinyanga.

Mungu ampumzishe kwa amani.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...