Friday, February 6, 2015

TUME YA UCHANGUZI YAENDESHA MAFUNZO KWA MAAFISA UANDIKISHAJI LINDI,MTWARA, RUVUMA NA NJOMBE

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inaendesha mafunzo kwa Maafisa Uandikishaji na Maafisa Waandikishaji Wasaidizi kwa ajili ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. 
Mafunzo yanafanyika katika Mikoa ya Lindi,Mtwara, Ruvuma na Njombe. 
Mafunzo yalianza kufanyika tarehe 2/2/2015 na yatamalizika tarehe 10/2/2015. 
Mafunzo yalihusisha matumizi ya Mashine za Biometric Voter Registration (BVR). 
Mfumo wa BVR ndio utakaotumika kuandikisha Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 Mmoja wa Maafisa wa Tume ya uchaguzi akiwa kwenye kituo cha kazi.
 Baadhi ya Maafisa uandikishaji wakipatiwa mafunzo hayo.
 Maafisa hao wakiapishwa kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...