Thursday, January 29, 2015

WATANZANIA UKATILI HUU SI WAKUFUMBIWA MACHO

 PICHA hizi nimezinyaka kwenye mtandao wa Facebook, zikimuonyesha mtu ninayemfahamu, rafiki yangu, wa karibu Tevez, akiwa kwenye hali hii hata nilipoulizia kisa cha kufanyiwa haya nashindwa kuamini kama kweli alichokifanya kinalingana na kufanyiwa ukatili huu, nikiwa kama Mtanzania wa kawaida ningependa kujua zaidi Serikali yangu itafanya nini pale itakapowabaini waliomfanyia ukatili huu, maana nimesikia tukio zima limetokea nje ya nchi hii na wengi wanadai ni South Africa, ndugu zangu naomba tuungane kwa pamoja kuhakikisha tuna tokomeza ukatili huu maana ni rahisi kufurahia wakati wewe hayaja kufika.
 Tevez akiwa katika pozi siku chache kabla ya kufanyiwa ukatili huu wa kusikitisha.
Dah,......

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...