Saturday, January 31, 2015

MSIBA WA BABA WA P SQUARE WAVUNJA REKODI, ASKARI WATANDA KILA SEHEMU




Ni huzuni ulichanyanyikana na furaha! Ndivyo inaweza kusema kwa msiba wa matajiri mapacha wawili, Peter na Paul Okoye wa Kundi la P Square ambao wameondokewa na baba yao, Mr. Okoye Fell hapo jana.
Huzuni wa kipekee ni kwamba, wamekubwa na msiba huo ikiwa ni miaka miwili tu tangu waondokewe na mama mzazi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana ni kwamba Mr. Okoye alifikwa na umati baada ya kuteleza nyumbani kwake na kuanga chini kwa kutanguliza kichwa chini, ikiwa ni siku chache baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti.
Mpaka sasa, hukuna taarifa rasmi za kueleza umauti wake aidha kutoka kwa watoto wake- Peter, Paul wala Jude lakini Lola Omotayo amepost kwenye Ukurasa wake wa Instagram akieleza kofo chake.
Kwa upande mwingine, msiba wao umegeuka kama harusi kutokana na kufunikwa na mastaa kibao kutoka sehemu mbalimbali ambao ndio wametawala msibani hapo, hali iliyouchangamsha msiba huo na kusahau majonzi.
Katika msiba huo, jambo lililowaacha hoi wengi ni hali ya ulinzi kuimarishwa kama vile wanaweza kudhuriwa na mtu yeyote na mpaka sasa haijajulikana walikuwa na lengo gani la kumwaga maaskari.





Wasanii wa Kundi la P Square, Paul (wa kwanza kushoto) pamoja na Peter Okoye anayefuatia, wakiwa na mstaa kibao kwenye msiba wa baba yao kipenzi, Okoye  



Marehemu baba yao enzi za uhai wake.

Ulinzi wa kutosha msibani.

Ibada ya mazishi ikisomwa.


Paul kulia na Peter Okoye wakifuatalia masikiliza ibada ya mazishi ya baba yao kipenzi, Okoye Fell aliyefariki jana

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...