Friday, January 30, 2015

ALLY CHOKI, ASHA BARAKA HATIMAYE WAPATANA

BIFU lililodumu kwa muda mrefu kati ya Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta, Asha Baraka na Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ali Choki leo limemalizika rasmi katika ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Mwenge, Bamaga jijini Dar.
Wakongwe hao katika muziki wa dansi wameamua kumaliza tofauti zao na kuwa kitu kimoja huku wakiahidi kushirikiana katika muziki na mambo mengine.
Je, ni jambo gani ungependa kuwashauri watu hawa
Msanii wa muziki wa Dansi nchini Ally Choki (kushoto), akishikana mkono na Mkurugenzi wa Bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka muda mufipi baada ya kupatana ndani ya Ofisi za Global Publishers LTD, Zilizopo Bamaga Mwenge jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...