Monday, March 3, 2014

:LORD EYEZ KWENYE SKENDO ATIWA LUMANDE KWA WIZI TENA!!


Msanii kutoka kundi La Weusi ‘Lord Eyez’ amekumbwa na Tuhuma ya wizi wa Laptop aina ya ‘Dell’ ikiwa ndani ya gari.

Utafiti huo ulimbaini msanii huyo akiwa na wenzake waliovunja kioo cha gari katika Hoteli ya Shiva ya jijini Arusha na kuiba Laptop aina ya Dell, baada ya wahusika kutoa taarifa kituo cha polisi na uchunguzi ulianza siku ya ijumaa.

Mtego huo ulipo kamilika na kugundulika ndipo Lord Eyez ndiye muhusika akakamatwa na Polisi usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili, hadi sasa msanii huyo bado yupo Lumande akiisaidia polisi.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...