Monday, February 10, 2014

WAFANYABIASHARA WA IRINGA WAFUNGA MADUKA KUGOMEA MASHINE ZA TRA

Hapa ni maeneo maarufu ( kama mtaa wa congo dar) sana mkoani Iringa,panajulikana kama Miyomboni kukiwa kimya kutokana maduka yote ya bidhaa muhimu yamefungwa na wananchi wanaendelea kupata taabu kutokana na mgomo wa kutumia mashine za kutolea risiti za TRA.(picha zote na Denis Mlowe )


POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...