Saturday, February 1, 2014

ANGALIA JINSI OMMY DIMPOZ ALIVYOFANYA MAKAMUZI YA KUFULU KAHAMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo Omari Nyembo 'Ommy Dimpozi', usiku wa kuamkia leo amefanya maajabu mjini Kahama ambapo alienda kutumbuizi moja ya shoo zake za utangulizi kabla  hajatimkia nchini Marekani ambako anatarajiwa kwenda kupiga shoo zaidi ya nne kwenye vitongoji mbalimbali vya bara halo.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...