

Matic ambaye anarejea Chelsea baada ya kuihama akiwa ni sehemu ya uhamisho wa beki David Luiz,amesajiliwa tena kwa mkataba wa miaka 5 na nusu kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 21. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 tayari amekabidhiwa jezi namba 21
No comments:
Post a Comment