Mashabiki wakipagawa na shoo ya P-Square. ......baada ya shoo kali ya masaa matatu, sasa inatosha Dar es salaam..asante sana...’tank yo! tank yo’!!!

Joh Makini akilitawala jukwaa.
Nikki wa Pili (kushoto) na G Nako wakifanya yao stejini. 
Kundi la Weusi likiongozwa na Joh Makini likishambulia jukwaa la Leaders Club kabla P-Square hawajapanda usiku huu. P




Mwanamuziki Joseph Haule 'Profesa Jay' akiwapagawisha vilivyo mashabiki waliohudhuria shoo ya P-Square Live in Dar ndani ya Viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar. 

Nyomi HAPO JUU baada ya kuikubali vilivyo shoo ya Profesa Jay. L


Mwanamuziki Judith Wambura 'Lady Jaydee' au 'Anaconda' akiwapagawisha mashabiki wake waliohudhuria katika Viwanja vya Leaders Club usiku huu katika shoo wa wakali P-Square.
Watu... Jideeeeeeeeeeee...
Machozi Band nao walikuwepo kumback up Jide. 

Mwanamuziki Ben Pol akiwasha moto katika steji ndani ya Viwanja vya Leaders katika shoo ya P-Square Live in Dar.
Nyomi ikifuatilia shoo ya Ben Pol.
Ben Pol akiimba sambamba na mwanadada.
No comments:
Post a Comment