Tuesday, September 10, 2013

BODABODA YAMPOTEZA MWENYEKITI WA SEREIKALI ZA MTAA SINZA E



Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Sinza E akiwa chini muda mfupi baada ya kupata ajali ya kugongwa na bodaboda maeneo ya Vatican Sinza

Mwendesha bodaboda (mwenye koti jeusi),akihaha baada ya kumsababishia ajari M/kiti wa Serikali za mtaa.

Mwenyekiti akiwa  amezimia katikati ya barabara muda mfupi baada ya kupata ajali hiyo.

Wananchi wakimpandisha M/kiti huyo kwenye gari la msamalia mwema mmoja  tayari kwa kumpeleka hospitali  kupata matibabu kwenye Hospital ya  Palestina Sinza.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...