Thursday, July 11, 2013

MAMA AJIFUNGUA MTOTO ANAYEFANANA NA NYANI.....



Mwanamke mmoja amejikuta akimwaga machozi baada ya kumpoteza mwanaye dakika chache baada ya kujifungua....

Tukio hilo lilitokea siku ya jumatatu katika hospitali ya Kargo nchini Nigeria...

Taarifa zinadai kuwa mwanamke huyo ambaye ni mkazi wa kijiji cha SabonIcel alijifungua mtoto wa ajabu anayefanana na Nyani, hali iliyomfanya afariki dakika chache baada ya kuzaliwa

 
Daktari aliyehusika na kumsaidia mwanamke huyo anadai kwamba, mwanamama huyo alifikishwa hospitalini hapo majira ya saa moja na nusu asubuhi na kwamba tahadhari zote za kitabibu zilizingatiwa kama kawaida.

Kilichowashangaza ni sura ya mtoto aliyezaliwa,nusu alikuwa binadamu na nusu nyingine alikuwa ni nyani.
Daktari huyo anadai kwamba mtoto huyo alikuwa na uzito wa kilo 4 na kwamba alifariki dunia dakika chache baada ya kuzaliwa.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...