Tuesday, July 9, 2013

LULU WA KANUMBA ABEBA TENA VICHWA VYA HABARI,PICHA NNE HIZI HAPA



Elizabeth Michael maarufu kwenye bongomovie kama Lulu na maarufu kwenye mitandao ya kijamii kama @hotlulumichael nyota yake imeendelea kung’aa tena kwenye tamasha kubwa la filamu Afrika ambapo kupitia category ya “Best Actress Swahili Movies” ambayo ilikuwa na ushindani mkubwa kutokana na uwepo wa wasanii wengi wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa, weekend hii Lulu ameinyakua tuzo hii kwenye tamasha la ZIFF ambalo ni maarufu na linahudhuriwa na watu mbalimbali wa filamu kutoka sehemu tofauti duniani hivyo hii itakuwa ni fursa nyingine na nzuri kwa Lulu baaada ya wadau wa movie kumjua yeye na labda kufuatilia kazi zake kitu ambacho kinaweza kumsaidia kufika zaidi ya hapa alipo sasa kwa kupata kazi nyingine nje ya Tanzania. Lulu ameshinda tuzo hii kutokana na ushiriki wake kwenye movie ya Woman of principle, ni movie ambayo iliandaliwa na kampuni ya RJ Company na kufanywa na Ray,Lulu na Nagris Mohamed kama washiriki wakuu.

.

.

.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...