Wednesday, July 10, 2013

AGNES MASOGANGE MIKONONI MWA POLISI,AKAMATWA NA UNGA,NA HUYU NI MWENZAKE HUKO S.AF


 
Mellis Edward
Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange 
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.
 
Kamanda Gofrey Nzowa - Kitengo cha Madawa ya Kulevya


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...