Friday, July 19, 2013

HUU NDIO UJUMBE MZITO WA MSANII LULU KWENDA KWA DR.CHENI HII LEO SIKU YA KUZALIWA


Dr Cheni
Leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya mwigizaji mwenzetu na rafiki yetu Mahsein Awadhi maarufu kama Dr.Cheni. Cheni ni mmoja wa waigizaji wakongwe na waliojipatia sifa kubwa hapa nchini katika kipindi chote hichi cha maisha yake. Katika pitapita zetu tuliweza kupata maneno aliyoandikiwa na muigizaji Elizabeth Michel katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Lulu ameandika…
lulu
“Daah..dnt even know whr to start!!!!okay....umekuwa ni mtu muhimu sana katika maisha yangu...mtu mwenye kunipenda kwa dhati na kunithamani...kila ninapokuwa najaribu kukuelezea huwa nakosa cha kuongea na najisikia kulia tu....!!!nina uhakika sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea uishi maisha marefu yenye amani,afya na faraja!!!HAPPY BIRTHDAY DADDY CHENI.
Dr. Cheni amekuwa ni mtu wa karibu sana wa mwanadada Elizabeth Michael na ni mmoja wa watu waliofanikisha kwa kiwango kikubwa kwenye upatikanaji wa dhamani wa mwanadada huyu katika kesi inayomkabili.
Happy birthday Dr.Chen

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...