Monday, June 17, 2013

MWANAMKE AVUA NGUO NA KUCHEZA UCHI BAADA YA KUZIDISHA POMBE HUKO MBAGALA ZAKHEIM


DADA mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulukana mara moja aliuacha hoi umati wa watu waliokuwa kwenye baa moja hivi (jina kapuni) huko mbagala Zakheim mara baada ya kuvua nguo zote na kubaki uchi wa mnyama na hivyo kusababusha hali ya taharuki katika maeneo hayo.
Chanzo cha habari kinadai kuwa dada huyo alifika maeneo hayo akiwa vizuri kabisa...

Uchafu wake ulianza baada ya yeye kunywa bia nyingi mithili ya mtu mwenye kiu ya maji .Pombe ilipopanda kichwani, mrembo huyo alianza kukata mauno ovyo na kusaula nguo mojamoja mpaka alipoyaanika na makalio yake..






No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...