Wednesday, April 17, 2013

BI KIDUDE HATUNAYE TENA!!




 
PIGO LINGINE! Bi Kidude amefariki dunia mapema leo mjini Zanzibar. mara kadhaa Bi kidude, ambaye amejipatia sifa na umaarufu ndani na nje ya nchi, amekuwa akizushiwa kifo kutokana na kuuguawa muda mrefu....taarifa zaidi za kifo chake endelea kufuatilia mtanda wako wa Mateja20 kwa habari zaidi kuhusu msiba huu...MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI--AMIN!

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...