Friday, February 22, 2013

WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE WAPATA MTOTO WA KIUME....!!


Amber Rose na mchumba wake Wiz Khalifa sasa ni wazazi wanaojivunia
kwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa na a z mwisho) amezaliwa siku ya jana alham is mchana Mapema siku hiyo ya jana a proud papa Wiz Khalifa alipost picha akiwa amevaa posted a picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa yakisema "daddy time." wakati wa baba
mida ya saa nane mchana akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!!
Everyone welcome this perfect young man into the world"mara ya mwisho wawili hao. Amber na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy, wikii mbili
zilizopita, huku rose akionekana na tumbo lake kuuuubwa katika tight dress nyeus

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...