Friday, February 22, 2013

RAIS WA UGANDA AFIWA NA BABA YAKE MZAZI


RAIS YOWERI MUSEVENI
BABA mzazi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Mzee Amos Kaguta, amefariki dunia leo asubuhi akiwa katika Hospitali ya Taifa jijini Kampala.
Mzee Kaguta aliyefariki akiwa na umri wa miaka 96, alilazwa hospitalini hapo tangu mapema mwezi huu akisumbuliwa na maumivu ya tumbo yaliyopelekea kifo chake.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu.  PICHANI CHINI NI HAYATI AMOS KAGUTA(BABA WA RAIS MUSEVENI)

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...