Tuesday, February 19, 2013

MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA



Mtoto Aneth Johannes aliyechomwa moto na
Wilvina Mukandala
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo ,kisha kukatwa mkono hospitali.

Baada ya ushahidi kukmilika mahakama imemtia hatia na kumhukumu kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama ya wilvina

Inapaswa tuelewe kuwa mtoto ni tunu na zawadi ya pekee toka kwa mungu hivyo haipendezi kumgeuza ngoma, thesupestarstz inampa pole mtoto Aneth na kuitaka serekali kupitia upya sheria zake ili kuweka adhabu kali zaidi kwa watakao nyanyasa watoto,sisi tuna amini mtoto anaelekezwa na na si kupigwa.

Wilvina Mukandala akiwa mahakamani
Wilvina Mukandala akiwa ha amini


No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...