Wednesday, February 13, 2013

"MIMI SI MCHAWI...SIRI YA MAFANIKIO YANGU NI MAMA YANGU.."DIAMOND



Huenda ile story ya kwamba Diamond amepata na anaendelea kupata mafanikio kutokana na kutumia waganga wa kienyeji si kweli!! You never know! Staa huyu ambaye gazeti la Daily Nation limemtaja kuwa miongoni mwa wasanii wa Bongo Flava matajiri zaidi, yupo karibu mno na mama yake mzazi na pengine ndio maana anafanikiwa, nani kama Mama? Vipi kama mafanikio yake ni thawabu halisi kutoka kwa Mwenyezi Mungu?

Hizi ni picha ambazo Diamond ameziweka kwenye website yake na kuandika kwenye moja ya picha hizo: Siku zote kabla ya kwenda popote lazima tupitie kwa mama yetu mpendwa atupe Barka zake na nyingine hiyo juu akiandika: Nikipokea baraka za Mama ….Nijaliwe Mema….na Niende kwa Amani…!!
Wasafi wakipata baraka za mama

Diamond katika moja ya show zake

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...