Tuesday, February 12, 2013

MAANDAMANO YA CHADEMA NA VYAMA VINGINE VYA UPINZANI KULAANI VITENDO VYA UONEVU BUNGENI



Viongozi wa Chadema wakiwa Meza kuu kutoka kushoto katibu mkuu Dr Wilbroad Slaa, Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe na naibu katibu mkuu Mh Zitto Kabwe.

Viongozi wa chadema wakiwa katika mshikamano mkubwa, wakiandamana kupinga vitendo vya uonevu vinavyofanywa na Spika na Naibu wake dhidi ya wabunge wa Upinzani.

Mamia ya wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kuunga mkono maandamano yaliyoandaliwa na chadema kupinga Uonevu wanaofanyiwa wabunge wa Upinzani Bungeni.

Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa akiwa jukwaani katika mkutano wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke.

Mh Tundu Lissu akiongea kwenye mkutano uliofanyika Viwanja vya Mwembeyanga

Mhe. Mnyika akiongea katika mkutano wa kulaani vitendo vya uonevu kwa wapinzani. Mkutano uliofanyika katika kiwanja cha mwembeyanga Temeke.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...