Miss Tanzania wa zamani na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameonesha picha za kwanza za ofisi ya kampuni yake aliyoifungua, Endless Fame Films. Kampuni hiyo inatarajia kuzinduliwa hivi karibuni.
Tazama picha hizi zinazoonesha kona mbalimbali za ofisi hiyo ya nguvu. Hongera sana Wema.
Washing room
Wema ameandika: Managing director pale kati…. my lounge.
Ofisi ya EFF
Meza ya editor
Kuelekea EFF
Ofisi ya sekretari wake
Reception
Waiting Lounge
Meza ya editor
Kuelekea EFF
Ofisi ya sekretari wake
Reception
Waiting Lounge
Ofisi ya Wema
jamani acheni tu huyu mtt ni kichwa sana. hongera wema sepetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeletehongera wema, ni hatua ndefu sana umepiga
ReplyDelete