Wednesday, January 16, 2013

RAIS WA SEATTLE SOUNDERS ALIPOKUTANA NA RAIS KIKWETE IKULU JANA


Rais wa Seattle Sounders FC ya Marekani, kushoto, akizungumza na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Ikulu mjini Dar es Salaam jana.

Hapa wanamkabidhi rais Kikwete jezi ya Sounders

akimuonyeasha jambo kwenye kompyuta rais Kikwete

Ujumbe wa Sonders baada ya kufika Ikulu jana

Ujumbe wa Sounders katika picha ya pamoja na rais JK jana

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...