Wednesday, January 16, 2013

DADA WA KAZI AJINYONGA MAENEO YA TABATA DAR ES SALAAM



Dada wa kazi za nyumbani wa eneo la Tabata Barakuda aliyejiua jana saa moja usiku na bado chanzo hakijulikani

Machela ya kubebea mwili wa marehemui ilifika


Waliuingiza mwili wa mdada huyo na kuondoka nae ambapo blog hii itaendelea kuwajulia taarifa kuhusiana na kile kilichomsibu mdada huyu


Watu wakiuchungulia mwili wa marehemu

Umati wa watu ulikusanyika kujua nini chanzo

Inasemekana kuwa hilo ni tukio la pili kujitokeza katika eneo hilo

Hapa kazi yao ikiendelea ya kuhoji wahusika


Maaskari Polis wa kituo cha Rozana wakichukua maelezo

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...