Mwanachama wa kikundi cha Upendo katika kijiji cha Buigiri mkoani Dodoma, Diria Yaledi Mtumwa (kushoto) akihesabu fedha baada ya kukabidhiwa ikiwa ni mkopo unaotolewa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kupitia mpango wake wa Uwezeshaji kwa Wanawake kwa njia ya M-Pesa (MWEI). Mikopo ya jumla ya kiasi cha zaidi ya Sh. Milioni 17 ilitolewa kwa wanawake wa Buigiri kwenye makabidhiano hayo ya awamu ya pili ya mikopo ya MWEI yalifanyika jana kijijini Buigiri mkoani Dodoma jana .
Mwanachama wa kikundi cha Upendo katika kijiji cha Buigiri mkoani Dodoma, Diria Yaledi Mtumwa (kushoto) akipokea fedha ikiwa ni mkopo unaotolewa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kupitia mpango wake wa Uwezeshaji kwa Wanawake kwa njia ya M-Pesa (MWEI). Mikopo ya jumla ya kiasi cha zaidi ya Sh. Milioni 17 ilitolewa kwa wanawake wa Buigiri na kukabidhiwa na Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon (kulia) huku Afisa wa Vodacom Ally Mbuyu (wa pili akishuhudia). Makabidhiano hayo ya awamu ya pili ya mikopo ya MWEI yalifanyika jana kijijini Buigiri mkoani Dodoma jana.
Mwanakijiji wa Buigiri mkoani Dodoma Nyendo Yohana Chisoma akihesabu fedha baada ya kukabidhiwa ikiwa ni mkopo unaotolewa na kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kupitia mpango wake wa Uwezeshaji kwa Wanawake kwa njia ya M-Pesa (MWEI). Mikopo ya jumla ya kiasi cha zaidi ya Sh. Milioni 17 ilitolewa kwa wanawake wa Buigiri kwenye makabidhiano hayo ya awamu ya pili ya mikopo ya MWEI yalifanyika jana kijijini Buigiri mkoani Dodoma .
Wanakijiji Buigiri mkoani Dodoma wakipata malekezo kutoka kwa Meneja wa Vodacom Foundation,Grace Lyon (kulia) juu ya mikopo inayotolewa na Vodacom kupitia mpango wake wa Uwezeshaji kwa Wanawake kwa njia ya M-Pesa (MWEI). Mikopo ya jumla ya kiasi cha zaidi ya Sh. Milioni 17 ilitolewa kwa wanawake wa Buigiri kwenye makabidhiano hayo ya awamu ya pili ya mikopo ya MWEI yalifanyika jana kijijini Buigiri mkoani Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment