Thursday, November 1, 2012

Viingilio vya Fainali ya REDD’S MISS Tanzania 2012



FAINALI za shindano la Redds Miss Tanzania 2012 zitafanyika tarehe 3 Novemba 2012 katika ukumbi wa Blue Pearl Hotel, Ubungo Plaza jijini D’salaam.Mkurugenzi wa kampuni ya LINO AGENCY Hashim Lundenga alisema maandalizi yote yamekamilika.
Watakaokaa katika viti maalum vilivyowekwa katika hadhi ya kimataifa na kila tiketi itagharimu kiasi cha shilingi laki moja (100,000) za Kitanzania.
Katika kufanikisha shindano hili kutakuwa na vitu tofauti
Kwa upande wa burudani kutakuwa na burudani nyingi sana na zitaongozwa nawasanii nguli hapa nchini kama:
1) Diamond Platnumz
2) Winfrida Josephat’Rachel’
3) Wanne star ngoma troupe

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...