Friday, September 7, 2012

MIILI YA ASKARI WA JWTZ WALIOKUFA NCHINI SUDANI YAAGWA LEO

Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya Jeshi la Umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga miili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Askari wa JWTZ wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili wa askari wa3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya Jeshi la Umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga miili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange akitoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu.
Mkuu wa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange akimfariji mke wa mmoja wa askari waliofariki, Bi. Fatuma Chunguile.
Askari wa JWTZ wakiingiza miili ya marehemu katika gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya mazishi.
Mkuu wa Majeshi nchini, Devis Mwamunyange akiongea na wanahabari.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...