Wednesday, September 5, 2012

MAPOZI TATA KATIKA MAKAMUZI YA SERENGETI FIESTA 2012

 Barnaba Boy akiwa amebananishwa na jimama jukwaani
 Rachael akiwa katika pozi tata
 Ommy Dimpoz akijichana kwa shabiki
 Eti wameweka Swagger sasa loh!
 Mmmh...sujui albino wa mzungu wa Sinyanga ... hata sjamuelewa pozi lake
 Sijui alikusudia kuwatega mashabiki wa Serengeti Fiesta Shinyanga ... sina habariiiii!!!!
 Rachel Tenaaaaaa ... akuuuu!!!!
 Ommy Dimpoz 'anajihendisaminisha' au????
 Nay wa Mitego.... hapo nyuma ndiyo mitego ya Serengeti Fiesta
 Baba Steve mwanao anakua sijui utamwambia nini na jimama hilo... loh mimi simo jamani!!!
 Yalaaaa....  sijui nanyie kina nani tena hapo????
 Mwarab wa ghafla wa  Shinyanga ....
Aiseee... Mwasiti kama unaburudika kiana kwa kinywa au macho yangu!!!!
 Mmmh.... chakula ya mtoto kama naiona hivi ???
Mtegooooo wa Ney kwa makalio loh!
Mmmh... Ommy Dimpoz huyo kakupandishia nguo au macho yangu yanaona vanaona vibaya???
 Barnaba Shiiiiiiilooooollllleee hatamchukia Rachel kweli  samahani lakini!!!
 Siyo Single button tu hata three  button inawakilisha pande hizi bhana!!
 Kitu cha usingizi bhaaaaassss.....
 Mande ya baba Steve na naniluu.....
 Mmmh...Temba bibi yako huyo loh!
 Kama mnakumbushana enzi zenu vileeee ....
 Michano kila kona na Serengeti Fiesta 2012 .....
 Nachanika kama ifuatavyo... Shinyanga mpoooooo?????
 PQ, sheeeeeemeeejiii wa home anajua kama Mwanza ulikua hivi????
 Ray, utakatika nyonga hizo mwachie Mandela wa Twanga Pepeta tu!
 Pipi saa kumi usiku loh!
 Mtajaza wenyewe......
 Mmmh.....
Akizidisha mdomo saizi yake kunyongwa kama hivi... SERENGETI FIESTA 2012 .... BHAAAAASSS!!!!

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...