Friday, September 14, 2012

HAPPY BIRTHDAY- MH. FREEMAN AIKAELI MBOWE


Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA na Mbunge wa Jimbo la Hai Mh. Freeman Aikaeli Mbowe [51]

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa Jimbo La Hai Mh. Freeman Mbowe. Mateja 20 Blog inakutakia heri katika kuikumbuka siku yako ya kuzaliwa, Mungu akujalie maisha marefu yenye heri na baraka tele.



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...