Monday, August 27, 2012

Ziara ya Waziri Mkuu Pinda katika Wilaya ya Mlele

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mashine ya kukoboa mpunga na kupanga madaraja ya mchele katika kijiji cha Mwamapuli wilayani Mlele Agosti 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua uenzi wa daraja la Msyada linalounganisha vijiji vya Mwamapuli na Chamalendi wilayani Mlele Agosti 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na vijana wa kijiji cha Kavuddo wilayani mlele wakati alipokagua eneo litakapojengwa daraja linalounganisha eneo la Majimoto na Inyonga wialyani Mlele Agosti 26,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...