Saturday, August 4, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATOA POLE YA AJALI YA MELI KWA RAIS WA ZANZIBAR




Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda kwenye Ikulu ya Zanzibar, Agosti 3, 2012 kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwenzi uliopita.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi kwenye Ofisi za Baraza la Wawakilishi Mjini Zanzibar wakati alipokwenda kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Sagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)…
Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda kwenye Ikulu ya Zanzibar, Agosti 3, 2012 kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwenzi uliopita.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi kwenye Ofisi za Baraza la Wawakilishi Mjini Zanzibar wakati alipokwenda kutoa pole kufuatia ajali ya meli ya Sagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Rais wa Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein akizungumza na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye Agosti 3, 2012 alikwenda Ikulu ya Zanzibar kumpa pole kufuatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ikulu ya Zanzibar Agosti 3,2012 kutoa pole kufatia ajali ya meli ya Skagit iliyotokea mwezi uliopita. (Picha na Ofis ya Waziri Mkuu)



No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...