Thursday, August 16, 2012

SIMBA YATAMBULISHA 'SILAHA' MPYA

Makamu Mwenyekiti wa Simba, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ (katikati), akiwatambulisha wachezaji wapya mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Pop (kushoto), akimkabidhi jezi mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Daniel Akuffor, kutoka Ghana.
Hans Pop akimkabidhi jezi beki wa Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars, aliyejiunga na Simba, Paschal Ochieng.
 
Wachezaji hao wakiwa kwenye picha ya pamoja. VONGOZI wa klabu ya Simba jana ulitambulisha wachezaji wake wawili wa kimataifa iliyoingia nao mkataba wa miaka miwili. Utambulisho huo ulifanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...