Thursday, August 16, 2012

KUWA STAA SI MCHEZO MDOGO, ANGALIA TUNAKOTOKEA


TUJIKUMBUSHE KIDOGO
HAWA ni baadhi ya warembo ambao walibahatika kupanda katika jukwaa la kumsaka Miss Tanzania 2006/007, na miongoni mwao wengi ndiyo mastaa wa nchi yetu, wakiongozwa na aliyetwaa taji kwa mwaka huo, Wema Isaac Sepetu, ambaye ukiangalia vizuri kwenye picha hii unaweza usimuone wala kumazania kama yeye ndiye aliibuka kidedea kwenye mchakato huo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...