Saturday, August 11, 2012

MISS TANZANIA HUYU PAMOJA NA KUOLEWA KWA SHANGWE NYINGI HAKOMI KUPIGA PICHA ZA UCHI?

 Miss Tanzania 2011, Husna Mauldi (kushoto), akiwa kwenye vazi linalomuonyesha  wazi sehemu kubwa ya mwili wake, Wasiwasi wangu ni kwamba hivikaribuni mrembo huyu alifunga pingu za maisha tena  kwa  shangwe na mbwembwe za kumwaga, swali la kujiuliza pamoja na  kulipotiwa mara kwa mara akiwa amepiga picha za utupu inamaana hajakoma tu??? Mawazo yenu tafadhali.....
Husna (wa kwanza kushoto), akiwa kwenye pozi na baadhi ya marafiki zake ndani ya moja ya Hoteli kubwa jijini Dar es Salaam.

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...