Wednesday, August 8, 2012

KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA UGANDA, KONGO NA RWANDA KWENYE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakifurahia jambo wakati wa mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda(picha na Freddy Maro

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Paul Kagame wa Rwanda(kushoto),Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda(Watatu kulia) na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo wakiwa katika mkutano wa viongozi wan chi za Maziwa Makuu unaofanyika jijini Kampala Uganda jana jioni.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...