Thursday, August 16, 2012

KIKOSI CHA YANGA HIKI HAPA



Mabingwa wa Afrika Mashariki na ya Kati, Yanga,jana wamewasilisha kwa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF, Majina ya Wachezaji wao 28 kwa ajili ya Msimu mpya wa 2012/13 wa Ligi Kuu Bara kwa mujibu wa Taarifa zilizotangazwa na Katibu Mkuu wao Mwesigwa Selestine.


Pamoja na Majina hayo yapo Majina ya Wachezaji 22 wa Timu ya Vijana wa chini ya Miaka 20, U-20, na miongoni mwao ni Wachezaji wa Timu ya Taifa, Saimon Msuva na Frank Domayo.
Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuanza Septemba 1 lakini hadi leo Ratiba haijatangazwa.
Kikosi kamili kwa Timu ya Kwanza:


Makipa: Yaw Berko, Ally Mustafa 'Barthez' na Said Mohamed


Mabeki: Shadrack Nsajigwa, Godfrey Taita, Juma Abdul, Oscar Joshua, David Luhende na Stephano Mwasika, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondan, Mbuyu Twite, Ibrahim Job na Ladislaus Mbogo


Viungo: Athuman Idd 'Chuji', Juma Seif Kijiko na Salum Telela, Nizar Khalfani, Shamte Ally, Idrisa Rashid na Omega Seme, Haruna Niyonzima, Rashid Gumbo na Nurdin Bakari


Washambuliaji: Said Bhanaunzi, Hamis Kiiza 'Diego', Didier Kavambagu na Jeryson Tegete
Kikosi cha U-20:


Makipa: Geofrey Nyalusi na Yusuf Abdul


Mabeki: Said Manduta, Zuberi Juma, Said Mashaka, Benson Michael, Issa Ngao, Rashid Said


Viungo: Frank Domayo, Omary Nasry, Clever Charles, Mwinyi Bakari, Mpenda Abdallah


Washambuliaji wa pembeni: Abdulahman Ally, Hussein Moshi, Abdallah Salum, Rehani Kibingu



Washambuliaji: Saimon Msuva, George Banda, Notikely Masasi, Suleiman Ussi, Kassim Jongo

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...