Tuesday, August 21, 2012

IDD PILI; AMIN, WAKALI DANCERS, TALENT BAND NA MSHIKAMANO CULTURAL TROUPE WAFUNIKA DAR LIVE

Msanii Amin Mwinyimkuu akiwarusha mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Dar Live jana.
Kiongozi wa Talent Band, Hussein Jumbe akipagawisha sambamba na wanenguaji wake.
Mmoja wa wasanii wa Mshikamano Cultural Troupe, akionyesha umahiri wake kwa kupita katika 'ring'.
Kundi la Wakali Dancers likiwapa burudani mashabiki waliohudhuria.
Mwanamuziki Mkongwe, Anna Mwaole (katikati) akinengua na wacheza shoo wa Talent Band.
Mwaole akiimba sambamba na Hussein Jumbe.
Dj Juice (kulia) akiwa mzigoni, pembeni ni Mc Pamela.
Msanii Chipukizi wa Muziki wa Kizazi Kipya, Bob Rogers akidansi na shabiki wake.

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya Amin Mwinyimkuu, kundi la Wakali Dancers, Talent Band na Mshikamano Cultural Troupe jana walifunika vilivyo katika tamasha la Idd Pili lililofanyika katika ukumbi wa kisasa wa Dar Live.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...