Saturday, August 11, 2012

HUU NDIYO USAFIRI WA MCHEZAJI WA KIBONGO WA KULIPWA MBWANA SAMATTA



Mchezaji wa kulipwa Mtanzania, Mbwana Ally Samatta akiwa katika pozi na gari lake mjini Lubumbashi analotumia hivi sasa anakoishi kwaajili ya kuichezea timu ya Tout Puissant Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...