Thursday, August 2, 2012

EPIQ BONGO STAR SEARCH YAZIDI KUSHAMILI COCO BEACH


Sehemu ya umati uliojitokeza kuwania kushiriki mpambano wa Epiq Bongo Star Search mwaka huu.


MCHUJO wa kuwapata washiriki wa shindano la EPIQ Bongo Star Search 2012, umeendelea mchana wa leo katika Ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam, ambapo washiriki zaidi ya elfu moja wamejitokeza kuwania nafasi hiyo.
Washiriki wakiwa kwenye foleni tayari kuonyesha uwezo wao.

Hali ya jumla ilivyokuwa eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...