Monday, August 27, 2012

BREAKING NEWS......WAFUASI WA CHADEMA MOROGORO WAPIGWA MABOMU MMOJA AFARIKI

Habari kutoka mkoani Morogoro zinadai kuwa jeshi la polisi mkoani hapo limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama na wafuasi wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema) ambao walikuwa katika maandamano .

Katika tukio hilo mtu mmoja anaripotiwa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali .

Habari zaidi utaendelea kuzipata hapa

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...