Saturday, July 21, 2012

SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA ANNE MAKINDA ATOA POLE KWA RAIS WA ZANZIBAR, KUFUATIA AJALI YA MELI YA MV SKAGIT



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, aliyeongozana na Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la Jamhuri, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais, kutokana na msiba wa ajali ya Meli ya Mv Skagit ya Kampuni ya Segull iliyozana juzi wakati Ikitokea Dar es Salam, kuelekea Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama, Cynthia Hilda Ngoya, akiwa katika ujumbe wa Wabunge walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Margareth Sitta, ambaye pia ni mmoja kati ya Wajumbe wa bunge la Jamhuri waliofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kutoa pole kwa Rais.

No comments:

Post a Comment

POSTED TITLE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...