Afisa Muandamizi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Tanzania, Juma Kiumtu akimkabidhi Mchango wa Maafa, Makamu wa Pili wa Raisi wa Zanzibar, Balozi Seif Ali, kiasi cha Sshilingi milioni kumi mapema leo ofisini kwake Mbweni, Zanzibar. Nyuma yake ni Meneja Msuluhishi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (ZSSF), Khamis Phil Phil Than.
No comments:
Post a Comment